RAIS MHE. SAMIA SULUHU APOKEA MAPENDEKEZO YA KAMATI MAALUM YA WATAALAMU KUHUSU NAMNA YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA KORONA (COVID-19)

0

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimshukuru Mwenyekiti wa Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Korona Covid -19 Profesa Said Aboud alipokuwa akikabidhi mapendekezo ya Mpango kazi wa kutafuta Rasilimali kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Mkakati wa taifa wa kukabiliana na janga la...

SERIKALI YAWATAKA WAFUGAJI KUJIUNGA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA

0

Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Angelo Mwilawa akieleza kuhusu malisho ya nyasi zilizosindikwa au “Hey” kama yanavyojulikana kitaalam wakati timu ya wafugaji na wazalishaji wa malisho ya mifugo kutoka mikoa ya Njombe, Mbeya, Tanga na Kilimanjaro walipofika kwenye shamba la kikundi cha Mkaff kilichopo kijiji cha...

MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA ZATAKIWA KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA HUDUMA ZA USTAWI

0

Afisa Ustawi wa Jamii mkoa wa Morogoro Jesca Kagunila akizumza katika mafunzo ya siku moja kwa maafisa Ustawi wa Jamii wa Halmashauri za mkoa wa Morogoro kwa ajili ya kuwajengea uwezo (PICHA NA HERI SHAABAN).Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt.Kusirye  Ukio  akizungumza katika mafunzo ya siku moja kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Halmashauri zote za mkoa huo...

NAIBU WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI AIPONGEZA STAMICO

0

Na: Mwandishi wetu.Leo tarehe 4 June Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Geofrey Kasekenya Ametembelea banda la STAMICO katika Maonesho ya wiki ya Mazingira yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete.Ameipongeza STAMICO kwa kubuni uzalishaji wa mkaa mbadala wa Makaa ya mawe ambao utakuwa ni mkombozi  kwa wananchi na kwa mazingira.Ameitaka   STAMICO kutoa elimu  na kuwashirikisha wananchi katika shughuli...