Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU APOKEA MAPENDEKEZO YA KAMATI MAALUM YA WATAALAMU KUHUSU...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU APOKEA MAPENDEKEZO YA KAMATI MAALUM YA WATAALAMU KUHUSU NAMNA YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA KORONA (COVID-19)

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimshukuru Mwenyekiti wa Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Korona Covid -19 Profesa Said Aboud alipokuwa akikabidhi mapendekezo ya Mpango kazi wa kutafuta Rasilimali kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Mkakati wa taifa wa kukabiliana na janga la ugonjwa wa Korona leo tarehe 04 Juni, 2021 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Korona Covid -19 leo tarehe 04 Juni, 2021 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU

Previous articleSERIKALI YAWATAKA WAFUGAJI KUJIUNGA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA
Next articleMAGAZETI YA LEO J.MOSI JUNI 5-2021

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here