SHILINGI MILIONI 250 KUKAMILISHA MABOMA MATANO YA ZAHANATI SINGIDA

0

Na: Maiko LuogaSerikali imepanga kutumia Shilingi milioni 250 katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa ajili ya kukamilisha maboma matano ya Zahanati katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mkoani Singida ili kuunga mkono jitihada zinazofanywa na wananchi katika kujenga na kuboresha miundombinu ya kutolea huduma za afya.Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI...

VIJANA 2,563 WAPATIWA MAFUNZO YA KILIMO HAI DODOMA

0

  Sehemu ya vijana waliojiunga katika vikundi kuzalisha mazao kwa njia ya kilimo hai kijiji cha Nzari wilaya ya Chamwino chini ya uratibu wa shirika la Kilimo Endelevu (SAT) wakiwa kwenye picha na wataalam wa Wizara ya Kilimo hivi karibuni.Mratibu wa Mkakati wa Vijana Kushiriki kwenye kilimo toka Wizara ya Kilimo Bw. Revelian Ngaiza...

WAGONJWA SITA WENYE MATATIZO YA MFUMO WA UMEME WA MOYO WAPATIWA MATIBABU TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

0

Wataalamu wabobezi wa moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Shifa iliyopo nchini Misri wakimtibu mgonjwa mwenye matatizo ya hitilamu ya mfumo wa umeme wa moyo ambaye mapigo yake ya  moyo yanakwenda haraka kuliko kawaida  (Tachyarrhythmia’s) wakati wa...