RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA KATIKA FUTARI

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Ibadhi Mtemani Wete Pemba.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na...

WAKULIMA KUNUFAIKA NA NHIF KUPITIA CRDB

0

Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Bernard Konga na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela wakibadilishana mkataba baada ya kusaini makubaliano ya kuhudumia wakulima kupata bima ya afyaMkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Bernard Konga na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela wakisaini mkataba wakishuhudiwa na Mrajis wa Vyama vya Ushirika Dk. Benson Ndiege  Mkurugenzi...

RAIS SAMIA AHUTUBIA MABUNGE MAWILI YA KENYA ( BUNGE LA KENYA NA BUNGE LA SENETI) JIJINI NAIROBI

0

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Mabunge Mawili ya Kenya (Bunge la Taifa pamoja na Bunge la Senate la Kenya kwa pamoja Jijini Nairobi leo tarehe 05, Mei, 2021.  ...

KUTOKA MAGAZETINI ASUBUHI YA LEO J.TANO MEI-5 2021

0

 Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.

WIZARA YA AFYA YATOA MAFUNZO KWA WABUNGE KUHUSU MAGONJWA YA KIFUA KIKUU NA UKOMA1

0

NA:  WAMJW-DODOMA.Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo imetoa mafunzo kwa wabunge wa Bunge la Tanzania kuhusiana na magonjwa ya Kifua Kikuu na Ukoma ili kuwajengea uwezo na uelewa kuhusu magonjwa haya mawili yanayosumbua jamii.Akiongea wakati ufunguzi wa mafunzo hayo, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amesema Wajumbe...

VIONGOZI WATAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUPAMBANA NA MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE

0

Mkuu wa Mkoa wa kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akiongea na Viongozi wa Mkoa, Wilaya na Halmashauri wakati wa kikao kazi cha uraghibishaji na uhamasishaji wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele kwenye Mkoa huo ambacho kiliwajumlisha Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa halmashauri,Waganga Wakuu wa Wilaya, Maofisa Elimu wa halmashauri pamoja na waratibu wa magonjwa Yaliyokuwa hayapwi Kipaumbele kwenye Hamashauri hizo.Wakuu...