HABARI KUU ZILIZOPO MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 6-2025

0

Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.

DENMARK YATOA RUZUKU YANYONGEZA SH. BILIONI 1.6 KWA FCS KUSAIDIA MIRADI YA ASASI ZA KIRAIA NCHINI.

0

Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette Nørgaard Dissing- Spandet (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa FCS, Francis Kiwanga (kulia) wakikabidhiana hati za mkataba wa fedha ya ruzuku ya nyongeza Sh. Bilioni 1.6 kutoka Denmark kwaajili ya kuisaidia FCS kuweza kutekeleza miradi ya Asasi za Kiraia Chini.Mkurugenzi Mtendaji wa FCS, Francis Kiwanga (kulia) akiweka saini wakati wa hafla fupi...

TUTASIMAMA NA WAKUNGA KUHAKIKISHA UZAZI UNAKUWA BARAKA, FURAHA TANZANIA – DK GWAJIMA.

0

Na:Catherine Sungura.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amewahakikishia wakunga kwamba Serikali itaendelea kusimama nao vema ili waweze kutimiza majukumu yao ipasavyo katika kusimamia akina mama kujifungua salama.Dk. Gwajima ametoa pongezi hizo mapema leo alipozungumza kupitia kipindi cha Good Morning kinachorushwa na Kituo cha Radio cha Wasafi FM, kilichokuwa na mada kuhusu Siku...

KAMPUNI YA SEMS APPAREL KUGUSA WENYE MAHITAJI

0

Na. MWANDISHI WETUKAMPUNI ya Sems Apparel limited, pamoja na wadau wa mitindo Ety'screation wameandaa  harambe ya kuchangia watu wenye mahitaji maalum katika jamii.Harambee hiyo itafanyika Mei 8 Osterbay Msasani, kwa kushiriki katika Iftari ambayo itafwatiwa na onyesho la mavazi kutoka kwa wabunifu wa Sems Appael Limited.Akizungumza na Mtanzania Digital, mratibu ya shuhuli hiyo Sammy Diwani 'Etyscreations,' amesema wameadhimia kukusanya...

MISS PWANI YAKARIBISHA WADHAMINI.

0

Na:Mwandishi wetu.MUANDAAJI  wa shindano la urembo mkoani Pwani, Maryam Ahmed ambaye ni mmilikiwa wa kampuni ya Twiga Entertainment, anawakaribisha wadau mbalimbali kujitokeza kudhamini shindano hilo mwaka huu.Maryam Ahmed 'Twiga' ni moja ya wadua wakubwa wa shindano la urembo hapa nchini amewahi kutwaa mataji mbalimbali ya urembo ikiwemo miss Arusha mwaka 2007, na miss Kisura 2008.Akizungumza na wandishi wa habari...