TANESCO SINGIDA YASAKA MAONI YA WANANCHI KUHUSU NISHATI YA UMEME
Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Singida, Mhandisi Florence Mwakasege akizungumza na Wananchi wa Kata ya Iguguno wilayani Mkalama leo Julai 26, 2022 wakati akisikiliza mahitaji na ushauri wao kuhusu sekta ya nishati.Afisa Mtendaji Kata ya Iguguno, Josia Pangazi akizungumza kwenye mkutano huo. Kutoka kulia ni Meneja wa Tanesco Wilaya ya Mkalama, Mhandisi, Benedict Ryeimamu, Meneja wa...
SERIKALI YA BRAZIL, WADAU KUWAONGEZEA NGUVU WAKULIMA WA PAMBA MWANZA
Na: Paul Zahoro, Mwanza RSMkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Mhandisi Robert Gabriel ametoa rai kwa wadau wa Kilimo Mkoani Mwanza kuunga mkono jitihada zinazolenga kuboresha uzalishaji wa zao la pamba ili kuongeza kipato kwa wananchi kwani ndio zao kuu la biashara Mkoani humo.Amesema hayo leo Julai 27, 2022 katika kikao kilichofanyika kwenye Hoteli ya Gold Crest mjini humo...
MAFUNDI UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA ILEMELA KUJENGA KWA NUSUBEI KUUNGA MKONO KAMPENI
Na:Paul Zahoro, Mwanza RSShule ya Msingi Kahama wilayani Ilemela imepokea kijiti cha kampeni ya Mkoa ya Ujenzi wa vyumba vya madarasa ikiwa ni siku ya tatu tangu ilipoanza ambapo wananchi wamechimba Msingi wa vyumba vya Madarasa 9 katika kukabiliana na msongamano kwenye shule hiyo unaosababishwa na upungufu wa vyumba 38.Akiongoza kampeni hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Mhandisi...
MKONGO (HENSHA) WAPIGWA MARUFUKU NCHINI.
NA:FARIDA SAID, MOROGORO.Baraza la tiba asili na tiba mabadala nchini limepiga marufuku matumizi na kuifutia usajili dawa ya Hensha maarufu kama MKONGO iliyokuwa na namba za usajili TZ17TM0027 inayomilikiwa na kituo cha Nyasosi Traditional Clinic kilichopo jijini Dar es Salaam.Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Morogoro Mwenyekiti wa Baraza hilo Profesa Hamis Masanja Malebo ameleza sababu za kufungiwa kwa dawa hiyo ni kutokana...
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA ‘VUMBI LA CONGO’
Na: Rayson Mwaisemba WAF - MOROGORO.Wizara ya Afya kupitia Baraza la Tiba asili na Tiba mbadala kuanza kuwasaka na kuwachukulia hatua za Kisheria Waganga wa tiba asili na tiba mbadala wanaotoa huduma kwa wananchi bila kusajiliwa na Baraza hilo kuanzia mwezi Februari, 2023.Hayo yamesemwa leo Julai 27, 2022 na Mwenyekiti wa Baraza hilo Prof. Hamisi Malebo wakati akitoa taarifa...
KITUO CHA KUTOLEA MAFUNZO KWA NJIA MTANDAO CHAZINDULIWA
Na. WAF - Dar es Salaam Kituo cha mafunzo kwa njia ya mtandao kwa Watumishi wa Afya ambacho kitasaidia kukabiliana dhidi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa UVIKO-19 kimezinduliwa ikiwa ni ishara ya kuanza kwa huduma katika kituo hicho.Kituo hicho kimezinduliwa leo Julai 26, 2022 na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa kituo cha kudhibiti...