KINANA ASEMA HAKUNA MWENYE HAKIMILIKI YA UONGOZI CCM,KILA MTU ANAYO HAKI KUGOMBEA

0

.MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana akizungumza na wanachama wa CCM Mkoa wa Songwe kwenye kikao cha ndani  Julai 27,2022 akiwapongeza kwa namna walivyofanikisha uchaguzi huku akitoa rai kwa wanawake na vijana kujitokeza kuomba nafasi za uongozi,wakati huo huo akawaeleza kuwa nafasi za uongozi ndani ya Chama hicho haina miliki na kwamba kila mtu anayo nafasi ya...

VYAMA VYA WAFANYAKZI WAIPONGEZA SERIKALI

0

Na: Heri Shaaban (llalla)VYAMA vya Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi (CotwuT) pamoja na chama cha Wafanyakazi wasafirishaji kwa njia ya Barabara (TAROTWU )wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kusikiliza kilio chao .Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu wa COTWU T ,Mussa Mwakalinga ,alisema Julai 26 Mwaka huu Ofisi ya...

CHOMBO CHA HABARI KISIBEBESHWE KOSA LA MWANDISHI: BALILE

0

KOSA atalofanya mwandishi wa habari, linapaswa kuwa kosa la mwanahabari mwenyewe na sio taasisi anayofanyia kazi.Ni kauli ya Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), wakati akizungumza kwenye Kipindi cha 360 cha Clouds Televisheni leo.Kwenye kipindi hiyo, Balile amesema, kufanya kosa la mwandishi kuwa kosa la taasisi ya habari, kumesababisha madhara makubwa mpaka wengine kukosa ajira.Amesema, kosa...

MWENGE WA UHURU WAZINDUA MRADI WA MAJI WA SHUWASA KIJIJI CHA BUGWANDEGE

0

+255 688 405 951: Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahili Nyanzabara Geraruma akizindua Mradi wa Maji katika kijiji cha Bugwandege Manispaa ya Shinyanga, ambao umetekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA).Na Marco Mduhu, SHINYANGA KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa  Uhuru Kitaifa Sahili Nyanzabara Geraruma, amefungua  Mradi wa Maji katika kijiji...

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JULAI 28-2022

0