SHAKA ASEMA KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA
Hahmad Michuzi Jr: Na Said Mwishehe, Michuzi TV-MbeyaKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ni Chuo kikuu cha siasa kinachotembea.Shaka ameyasema hayo leo Julai 29,2022 wakati akizungumza kwenye mkutano wa ndani uliohusisha wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Mbeya...
UNICEF NA WADAU WAZINDUA KAMPENI KUPINGA NDOA ZA UTOTONI
Dar es SalaamVijana balehe kote nchini wameungana na viongozi wa dini, wafanyabiashara,vyama vya kiraia, wanamichezo, waandishi wa habari, UNICEF na mashirika mengine ya Umoja wa Mataifa kuzindua kampeni ya BINTI, inayolenga kukomesha ndoa za utotoni nchini. Kampeni hiyo pia inakusudia kuhamasisha umma kushinikiza mabadiliko ya sheria ya ndoa ili kuongeza umri wa mtoto wa kike kuingia kwenye ndoa na kubadili...
TANZANIA YAJIVUNIA UENYEKITI NCHI WAZALISHAJI WA ALMASI AFRIKA
Asteria Muhozya, Tito Mselem na Steven Nyamiti, ArushaUenyekiti wa Tanzania kwa Nchi Zinazozalisha Almasi Afrika (African Diamond Producers Association-ADPA) umeonesha kuzaa matunda baada ya kuwezesha kuharakisha kurekebishwa kwa mifumo na nyaraka muhimu za umoja huo.Nyaraka hizo ni pamoja na Katiba, Kanuni na Miongozo inayosimamia Jumuiya hiyo ambapo mfumo mpya utawezesha kusimamia ipasavyo masuala yanayohusu madini ya almasi na kuleta...
MADEREVA WA MALORI WALALAMIKIA UTENDAJI MBOVU WA TICTS BANDARINI DAR ES SALAAM
Abdullah Thabiti, dereva wa malori bandari ya Dar es Salaam akiiomba serikali iingilie kati kunusuru uchumi wa nchi bandarini**MADEREVA wa malori wanaofanya kazi ya kushusha na kupakia makontena kwenye bandari ya Dar es Salaam wamelalamikia utendaji mbovu wa kampuni binafsi ya TICTS iliyokodi eneo la makontena kwa kukosa ufanisi na kusababisha msongamano mkubwa wa malori bandarini, huku madereva wakilazimika...
KINANA ASEMA HAKUNA MWENYE HAKIMILIKI YA UONGOZI CCM,KILA MTU ANAYO HAKI KUGOMBEA
.MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana akizungumza na wanachama wa CCM Mkoa wa Songwe kwenye kikao cha ndani Julai 27,2022 akiwapongeza kwa namna walivyofanikisha uchaguzi huku akitoa rai kwa wanawake na vijana kujitokeza kuomba nafasi za uongozi,wakati huo huo akawaeleza kuwa nafasi za uongozi ndani ya Chama hicho haina miliki na kwamba kila mtu anayo nafasi ya...
VYAMA VYA WAFANYAKZI WAIPONGEZA SERIKALI
Na: Heri Shaaban (llalla)VYAMA vya Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi (CotwuT) pamoja na chama cha Wafanyakazi wasafirishaji kwa njia ya Barabara (TAROTWU )wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kusikiliza kilio chao .Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu wa COTWU T ,Mussa Mwakalinga ,alisema Julai 26 Mwaka huu Ofisi ya...