NIC YADHAMINI NA KUSHIRIKI KOROSHO MARATHON MTWARA

0

NIC Insurance imedhamini na kushiriki Mbio za Korosho Marathon ili kuchangia kufanikisha upatikanaji wa fedha ambazo zitaenda kununulia mashine za kubangulia korosho kwa wabanguaji wadogo ikiwa ni sehemu ya sera ya NIC kurudisha katika jamii ambapo katika mbio hizo Mgeni Rasmi alikua Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack. @koroshomarathon_Endelea kufurahia huduma nzuri kutoka NIC - Pakua App...

KINANA:RAIS SAMIA MCHAPAKAZI MAKINI

0

*Huduma za jamii zimeimarika Na Mwandiahi wetu, MbeyaChama Cha Mapinduzi kimesema licha ya Rais samia suluhu  Hassan huzungumza  polepole lakini vitendo vyake katika utekelezaji wa sera za maendeleo zimekuwa motomoto.Pia, serikali yake kwa muda mfupi imeaminika na kuheshimika kikanda na kimataifa.Matamshi hayo yametamkwa jana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana alipokuwa  katika Manispaa ya jiji...

KAMPUNI YA YARA TANZANIA YAWATOA HOFU WAKULIMA UPATIKANAJI WA MBOLEA MSIMU WA KILIMO

0

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mbolea ya Yara Tanzania, Winstone Odhiambo (kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shs 58,879,945.84 kwa mshindi wa kwanza, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hapco Agrobusiness, Conrad Alex (katikati) baada ya kuibuka mshindi kwa kufanya mauzo mengi zaidi wakati wa mkutano wa mwaka wa wasambazaji wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana.Mkurugenzi...

SHAKA ASEMA KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA

0

Hahmad Michuzi Jr: Na Said Mwishehe, Michuzi TV-MbeyaKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ni Chuo kikuu cha siasa kinachotembea.Shaka ameyasema hayo leo Julai 29,2022 wakati akizungumza kwenye mkutano wa ndani uliohusisha wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Mbeya...

UNICEF NA WADAU WAZINDUA KAMPENI KUPINGA NDOA ZA UTOTONI

0

Dar es SalaamVijana balehe kote nchini wameungana na viongozi wa dini, wafanyabiashara,vyama vya kiraia, wanamichezo, waandishi wa habari,  UNICEF na mashirika mengine ya Umoja wa Mataifa kuzindua kampeni ya BINTI, inayolenga kukomesha ndoa za utotoni nchini.  Kampeni hiyo pia inakusudia kuhamasisha umma kushinikiza mabadiliko ya sheria ya ndoa ili kuongeza umri wa mtoto wa kike kuingia kwenye ndoa na kubadili...