MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA SENSA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa akifungua mkutano wa kamati hiyo kwenye ukumbi wa hoteli Melia Zanzibar, Julai 30, 2022. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza, Hemed Suleiman Abdulah.Makamisaa wa Sensa, Anne Makinda (kulia) na Balozi Mohammed Haji Hamza (wa pili kushoto) wakimsikiliza...
MREMA ATOA NENO UTEUZI WAKUU WA MIKOA ULIOFANYWA NA RAIS SAMIA
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha TLP, Augustino Mrema. Na Thobias Mwanakatwe MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha TLP, Augustino Mrema, amesema uteuzi na mabadiliko ya wakuu wa mikoa uliofanya na Rais Samia Suluhu Hassan iwe chachu kwa walioteuliwa kufanya kazi kwa bidii kumsaidia rais katika kuleta maendeleo makubwa ya kiuchumi nchini.Akizungumza jana kwa simu akiwa jijini Dar es Salaam, alisema...
WAZIRI NDALICHAKO AWATAKA WAMILIKI WA VIWANDA KUTOA MIKATABA YA KAZI KWA WAFANYAKAZI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na wafanyakazi wa Kiwanda cha kuchakata samaki cha Nile Perch kilichopo kata ya Nyakato, Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiangalia bidhaa ya sufuria...
MAHAFALI YA 10 CHUO CHA SAYANSI ZA AFYA KOLANDOTO SHINYANGA YAFANA
Wahitimu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto wakiandamana kutoka Jengo la Utawala la chuo hicho kuelekea kwenye ukumbi wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi za afya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga Na Kadama Malunde - Malunde 1 blogMahafali ya 10 ya Chuo cha Sayansi Kolandoto Manispaa ya Shinyanga yamefanyika leo Ijumaa Julai 29,2022 ambapo Jumla ya...
NIC YADHAMINI NA KUSHIRIKI KOROSHO MARATHON MTWARA
NIC Insurance imedhamini na kushiriki Mbio za Korosho Marathon ili kuchangia kufanikisha upatikanaji wa fedha ambazo zitaenda kununulia mashine za kubangulia korosho kwa wabanguaji wadogo ikiwa ni sehemu ya sera ya NIC kurudisha katika jamii ambapo katika mbio hizo Mgeni Rasmi alikua Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack. @koroshomarathon_Endelea kufurahia huduma nzuri kutoka NIC - Pakua App...
KINANA:RAIS SAMIA MCHAPAKAZI MAKINI
*Huduma za jamii zimeimarika Na Mwandiahi wetu, MbeyaChama Cha Mapinduzi kimesema licha ya Rais samia suluhu Hassan huzungumza polepole lakini vitendo vyake katika utekelezaji wa sera za maendeleo zimekuwa motomoto.Pia, serikali yake kwa muda mfupi imeaminika na kuheshimika kikanda na kimataifa.Matamshi hayo yametamkwa jana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana alipokuwa katika Manispaa ya jiji...