BANK OF AFRICA YAWAPATIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAFANYABIASHARA MWANZA
Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Adam Mihayo, akifungua warsha ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara wateja wa benki hiyo iliyofanyika jijini Mwanza.***BANK OF AFRICA-TANZANIA imeendesha warsha ya uwezeshaji wajasiriamali iliyolenga wafanya biashara wadogo na wakati (SME). Tukio hili liliwakutanisha pamoja wateja mbalimbali wa benki hiyo ambao ni Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati (SME) na kuwapatia ujuzi na maarifa muhimu...
MWENGE WA UHURU WAZINDUA MRADI WA MAJI NGOGWA -KITWANA KAHAMA
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahili Nyanzabara Geraruma akimtwisha Ndoo ya Maji Mwanamke, mara baada ya kumaliza kuzindua Mradi wa Majisafi na Salama kutoka Ziwa Victoria wa Ngogwa-Kitwana katika Manispaa ya Kahama.Na Marco Maduhu, KAHAMA KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahili Nyanzabara Geraruma, amezindua Mradi wa Majisafi na Salama kutoka Ziwa Victoria wa...
MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA SENSA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa akifungua mkutano wa kamati hiyo kwenye ukumbi wa hoteli Melia Zanzibar, Julai 30, 2022. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza, Hemed Suleiman Abdulah.Makamisaa wa Sensa, Anne Makinda (kulia) na Balozi Mohammed Haji Hamza (wa pili kushoto) wakimsikiliza...
MREMA ATOA NENO UTEUZI WAKUU WA MIKOA ULIOFANYWA NA RAIS SAMIA
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha TLP, Augustino Mrema. Na Thobias Mwanakatwe MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha TLP, Augustino Mrema, amesema uteuzi na mabadiliko ya wakuu wa mikoa uliofanya na Rais Samia Suluhu Hassan iwe chachu kwa walioteuliwa kufanya kazi kwa bidii kumsaidia rais katika kuleta maendeleo makubwa ya kiuchumi nchini.Akizungumza jana kwa simu akiwa jijini Dar es Salaam, alisema...
WAZIRI NDALICHAKO AWATAKA WAMILIKI WA VIWANDA KUTOA MIKATABA YA KAZI KWA WAFANYAKAZI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na wafanyakazi wa Kiwanda cha kuchakata samaki cha Nile Perch kilichopo kata ya Nyakato, Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiangalia bidhaa ya sufuria...