WAKURUGENZI WAMETAKIWA KUANDAA MASHAMBA DARASA KATIKA HALMASHAURI ZAO

0

 NA: FARAIDA SAID, MOROGORO.Wakurugenzi wa Halmashauri za mikoa ya Pwani,Tanga Dar es Salaam na Morogoro zinazounda kanda ya mashariki ya maonesho ya Nanenane wametakiwa kuanda mashamba darasa katika maeneo yao ili kuwawezesha wakulima, wafugaji na wavuvi waliokosa kushiriki katika ngazi ya kikanda na wao wajifunze kwa lengo la kuongeza uzalishaji wenye tija.Wito huo umetolewa mkoani Morogoro na Mkuu wa...

NIC YATAMBULISHA BIMA YA MAZAO KWA WADAU WA KILIMO MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

0

Meneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Mkoa wa Mbeya Justine Seni (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Shirika hilo kwenye Banda lao katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.Wakala wa Bima wa NIC Chrisostme Haule ((kulia) akimuhudumia Mteja aliyefika kupata huduma za Bima kwenye...

MAGAZETI YA LEO JUMATATU OGASTI 1-2022

0

           

BANK OF AFRICA YAWAPATIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAFANYABIASHARA MWANZA

0

Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Adam Mihayo, akifungua warsha ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara wateja wa benki hiyo iliyofanyika jijini Mwanza.***BANK OF AFRICA-TANZANIA imeendesha warsha ya uwezeshaji wajasiriamali iliyolenga wafanya biashara wadogo na wakati (SME). Tukio hili liliwakutanisha pamoja wateja mbalimbali wa benki hiyo ambao ni Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati (SME) na kuwapatia ujuzi na maarifa muhimu...