WACHIMBAJI WA MADINI TUNDURU WAIOMBA SERIKALI KUWAFUATA KWENYE MACHIMBO ILI KUTOA ELIMU JUU YA FAIDA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI INAYOTARAJIWA KUFANYIKA TAREHE 23 MWEZI HUU

0

Makamu mwenyekiti wa chama cha wachimbaji madini mkoani(RUVREMA) Kassim Pazi kulia,akizungumza na wanachama wa chama hicho Ndwela Msuya kushoto na mwingine ambaye hakufahamika jina lake juu ya umuhimu wa kushiriki kwenye zoezi la sensa ya watu na makazi linalotarajiwa kufanyika tarehe 23 nchini kote.Mchimbaji mdogo wa madini ya vito kutoka wilaya ya Tunduru Rashid Kanyunya kushoto,akithaminisha madini yake kwa...

WAZIRI NDALICHAKO: SERIKALI KUJENGA VYUO VITATU VYA WENYE ULEMAVU NCHINI

0

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na waandishi wa habari mjini Kasulu leo Agosti 3, 2022, kuhusu utekelezaji wa Bajeti ya Ofisi hiyo kwa Mwaka 2021/22 na Mwelekeo wa Bajeti ya Mwaka 2022/23 mjini Kasulu, Kigoma. Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri...

AFISA MTENDAJI MKUU BRELA ATEMBELEA MABANDA MBALIMBLI MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

0

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa, akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa GS1 Bi. Clementina Kahamba, kuhusu masuala ya Msimbomilia alipotembelea banda hilo mapema leo, kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni...

BRELA YARASIMISHA BIASHARA ZA WADAU NANENANE MBEYA

0

Baadhi ya wadau wakipatiwa huduma za kurasimisha biashara, katika banda la Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), katika Maonesho ya Wakulima Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.

BoT YAHIMIZWA KUHAMASISHA WANANCHI KUWEKEZA KATIKA DHAMANA ZA SERIKALI

0

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na  Naibu Gavana wa BoT, Sera za Uchumi na Fedha, Dkt. Yamungu Kayandabila, alipofika katika banda la BoT kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane kwa ajili ya kuzindua Mpango  wa Serikali wa Kushirikisha Vijana katika Kilimo Biashara.Naibu Gavana, Dkt. Yamungu Kayandabila, akipewa maelezo na Kaimu Meneja Idara...

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LABAINISHA MIPANGO YAKE YA MAENDELEO

0

Ofisa Mkuu wa Habari na Uhusiano wa Shirika la Nyumba la Taifa, Yahya Charahani akitoa maelezo kwa baadhi ya wajumbe wa sekretarieti ya Mkoa wa Mbeya waliotembelea katika banda la Shirika hilo kwenye Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya katika maonesho ya Nanenane 2022 ambako Shirika hilo linashiriki.Afisa Mkuu Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw....