NIC YAJIVUNIA UWEZO WAKE WA UKWASI KATIKA SEKTA YA BIMA
Afisa Mwandamizi Maendeleo ya Biashara wa NIC Alex suzuguye (kulia) aliyesimama akizungumza na waandishi wa habari (hawamo pichani) katika mahojiano maalum ndani ya Banda lao kwenye Maonesho ya Nanenane Jijini Mbeya. pamoja nae ni, Ephrasia Mawalla Afisa Uhusiano na Mawasiliano NIC (katikati aliyekaa) na Catherine Majigwa Afisa Bima wa NIC (Kushoto) aliyekaa.Afisa Mwandamizi Maendeleo ya Biashara wa NIC...
NFRA YAKABIDHIWA MAGHALA YA KISASA YA KUHIFADHIA MAZAO KATAVI, SUMBAWANGA NA BABATI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akitoa maagizo kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bw. Milton Lupa alipotembelea katika banda la hilo kwenye Maonesho ya Kilimo-Nane Nane Kitaifa yanayoendelea kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya.Mkurugenzi wa Masoko wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Bw....
TIC IPO KUHUDUMIA WAWEKEZAJI WOTE WA NDANI NA NJE : MASHIBA
Meneja wa Kanda wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Kanda ya Nyanda za juu Kusini Venance Mashiba (kulia) akizungumza na mgeni aliyetembelea katika banda la Kituo hicho (hayumo pichani) kuelezea shughuli zinazofanywa na kituo hicho kwenye maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya. (katikati) ni, Afisa Uwezehaji, Uwekezaji wa TIC Kanda ya Nyanda za juu Kusini...
MRADI WA KUONGEZA USHIRIKI WA VIJANA KATIKA KILIMO WAZINDULIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizIndua Programu ya Ajira kwa Vijana Kupitia Sekta ya Kilimo kwenye Banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya, Agosti 3, 2022. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Anthiony Mavunde, wa pili kushoto ni Spika wa Bunge, Dkt....
TAASISI YA MIFUPA MOI YATOA ELIMU KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA
Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI Bw. Patrick Mvungi akimuonesha Bi Mariam Gesema Mguu bandia unaotengenezwa na taasisi hiyo katika maonesho ya Kilimo-Nane Nane yanayofanyika Kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoa wa Mbeya.Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI Bw. Patrick Mvungi akiwafafanulia jambo wananchi hao waliotembelea banda lao katika maonesho ya Kilimo-Nane...