WANANCHI WAMIMINIKA BANDA LA BRELA KUSAJILI BIASHARA ZAO MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

0

Afisa wa kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni wa BLERA Anna Nderingo (kushoto) akimkabidhi Cheti mwaandishi wa habari mwandamizi kutoka mkoa wa Mbeya Emmanuel Lengwa (kulia) mara baada ya kukamilisha usajili wa jina la biashara kwa lengo la kutaka kuanzisha TV Mtandao (Online TV) katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya. BRELA imeshiriki...

BoT YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI JIJINI MBEYA

0

Kaimu Meneja Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki, Bi. Victoria Msina akimkabidhi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tulia Ackson, zawadi ya pochi ambazo pia hutumika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu utunzaji sahihi wa noti.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tulia Ackson, akisalimiana na Mkurugenzi wa Tawi la BoT Mbeya,...

MISA TAN YAKUSANYA MAONI NA MAPENDEKEZO YA WADAU KUBORESHA RASIMU YA UCHAMBUZI WA SHERIA ZA HABARI

0

Mkurugenzi wa utetezi na maboresho- LHRC, Mwanasheria Fulgence Massawe akizungumza kwenye mkutano wa kukusanya maoni na mapendekezo ya kuboresha Rasimu ya Uchambuzi wa Sheria za vyombo vya habari ulioandaliwa na MISA TAN kwa kushirikiana na ABA ROLIAfisa Habari na Utafiti wa MISA TAN, Bi. Neema Kasabuliro akizungumza kwenye mkutano wa kukusanya maoni na mapendekezo ya kuboresha Rasimu ya Uchambuzi...

RAIS SAMIA ALETA MAFURIKO YA WATALII

0

* Zitto atabiri utalii kuingiza dola bilioni 3 kwa mwaka, sawa na Shilingi trilioni 7* Royal Tour yaleta kishindo* Watalii wafurika kila kona, ikiwemo Arusha, Zanzibar, SerengetiIDADI ya watalii wanaokuja nchini baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuongoza ziara ya uzinduzi wa filamu ya Royal Tour nchini Marekani imezidi kuongezeka, huku viwanja vya ndege, mahoteli na mbuga za wanyama...

STAMICO YAENDELEA KUWAVUTIA WANANCHI KWA BIDHAA MPYA YA RAFIKI BRIQUETTES

0

Katikati ni Mhandisi Mbaraka Haruni Kutoka Shirika la Madini  STAMICO makao makuu Dar es Salaam , Mhandisi Alfred Mhagama Mgodi wa Makaa ya Mawe Kiwira kulia  na Happy Mwakimage Kutoka Mgodi wa Makaa ya Mawe Kiwira pia wakiwahuduamia wananchi mbalimbali waliotembelea Katika Banda la taasisi hiyo kwenye maonesho ya Kilimo ya Nanenane Viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya.Shirika la...

SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA AKSON ATEMBELEA BANDA LA NIC MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

0

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Ackson Tulia akikabidhiwa Fulani akiwa pamojana Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde mara baada ya kupata maelezo kuhusu Bima ya Kilimo pamoja na mifugo alipotembelea Banda Hilo Leo Agosti 4, 2022 kwenye maonesho ya Wakulima Nanenane 2022 katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya ambapo ameongozana na Naibu Waziri...