SHIGELLA AWASILI GEITA ASISITIZA KUWATUMIKIA WANANCHI.

0

Mkuu wa Mkoa was Geita Mhe, Martin Shigella akisalimiana na viongozi mbalimbali mkoani Geita baada ya kuwasili Mkoani humo. Mkuu wa Mkoa was Geita Mhe, Martin ShigellaKaimu katibu tawala wa Mkoa was Geita Herman Matemu akisoma taarifa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe, Martin Shigella.Na: Costantine James, Geita.Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe, Martin Shigella amewataka viongozi mbalimbali...

ZAO LA PAMBA DIRA YA MAENDELEO MAGU NA KWIMB

0

Na: Paul Zahoro, Mwanza RS.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Adam Malima amewataka viongozi na watendaji wa Halmashauri za Wilaya ya Magu na Kwimba kutoa Elimu ya Kanuni bora za kilimo cha pamba kwa wananchi ili kuwa na ushirikishwaji wa wakulima katika maendeleo ya uzalishaji wa zao hilo. Ameyasema hayo katika nyakati tofauti leo Agosti 05, 2022 alipofika kwenye wilaya...

JENGO LA MAMA NA MTOTO HOSPITALI YA KANDA MBEYA KUHUDUMIA WAKINA MAMA WAJAWAZITO ZAIDI YA 300

0

Na: Englibert Kayombo WAF – MBEYA.Kukamilika kwa jengo la kutolea huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya kutaongeza idadi ya wakina mama wajawazito wanaofika kujifungua katika Hospitali hiyo kutoka mama wajawazito 150 kwa sasa hadi kufikia 300 kwa wakati mmoja. Kauli hiyo imetolewa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia...

PROGRAMU YA KUTAMBUA HALI YA AJIRA KWA WAHITIMU KATIKA VYUO VYA VETA NCHINI YALETA MAFANIKIO

0

Asibatike William Mwalimu kutoka Chuo cha VETA Mbeya akielezea hali ya ajira kwa wahitimu wa ufundi stadi nchini alipozungumza katika Maonesho ya Kilimo-Nanenane yanayofanyika Kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoa wa Mbeya. kulia ni Jofrey Nyandindi Mchambuzi wa Nguvu kazi na Msoko Kanda ya Kusini Magharibi kutoka VETA. Asibatike William Mwalimu kutoka Chuo cha VETA Mbeya akitoa maelezo kwa...

TWCC YAPELEKA WAJASIRIAMALI ZAIDI 100 MAONESHO YA KILIMO NANENANE JIJINI MBEYA

0

 Picha za Baadhi ya wajasiriamali katika maonesho hayo.Tazama Video Hapahttps://youtu.be/RunQZis_cbQNa: Hughes dugilo, MBEYA.Chama cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania TWCC kimeshiriki Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya huku wajasiriamali zaidi ya mia moja walipo chini ya TWCC wakishiriki.Akizungumza katika mahojiano maalum na waandishi wa habari viwanjani hapo Mkurugenzi Mtendaji wa TWCC Mwajuma Hamza amesema kuwa...

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO IJUMAA AGOSTI 5-2022

0