WMA YATOA ELIMU KWA WAKULIMA NA WADAU MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

0

Kaimu SAfisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) Bi. Stella Kahwa (mwenye nguo ya kitenge) akiwahudumia wananchi katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.Afisa Vipimo wa WMA Edward Hiza akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea kwenye Banda la Taasisi hiyo kufahamu namna wanavyotekeleza majukumu yao katika Maonesho ya Nanenane Jijini Mbeya.Meneja wa...

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI, KITUO CHA AFYA IGLANSON, CHUO CHA VETA, HOSPITALI YA WILAYA IKUNGI

0

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI, KITUO CHA AFYA IGLANSON, CHUO CHA VETA, HOSPITALI YA WILAYA IKUNGI  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi mbalimbali wakifurahi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA kilichojengwa Wilayani Ikungi mkoani Singida.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa veta, Anthony Kasole (kushoto) akimuelekeza jambo Waziri Mkuu Kassi Majaliwa...

TAARIFA YA KAMATI YA SERA YA FEDHA YA BENKI KUU YA TANZANIA (MPC)

0

 Kamati imeridhishwa na utekelezaji wa sera ya fedha, uliopelekea kuwepo ukwasi wa kutosha katika  mabenki, na hivyo kuchochea ukuaji wa mikopo kwa sekta binafsi. Hata hivyo, Kamati imeendelea kufuatilia  kwa karibu ongezeko la mfumuko wa bei kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa zinazoagizwa kutoka nje ya nchi, hali ambayo inaweza kuathiri kasi ya ukuaji wa uchumi nchini. Uchumi wa...

WANANCHI WAHANASISHWA KUTEMBELEA BANDA LA CHUO KIKUU MZUMBE – MBEYA

0

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya Dkt.Hellen Mohammed akimhudumia MtejaMhadhiri Msaidizi Bw.Joshua Mjema akitoa maelezo kuhusu huduma za chuo kwa mteja aliyefika katika banda la Chuo Kikuu Mzumbe.Afisa Udahili wa Ndaki ya Mbeya Bw.John Jorrojick akitoa maelezo kwa Mteja.Bi Latifa Aboubakari Mkutubi wa Maktaba ya Shaaban Robert iliyopo Ndaki ya Mbeya akitoa huduma kwa Mteja.Chuo kikuu...

HABARI PICHA: UMAHIRI WA VETA KATIKA KUIBUA VIPAJI VYA VIJANA

0

Patrick Mbembela Mvumbuzi kutoka kijiji cha Isangara Mbeya vijijini aliyeunda gari yake inayotumia petroli akitoa maelezo  kwa wananchi mbalimbali waliofika kwenye banda la Veta katika Maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika kwenye uwanja wa John Mwakngale jijini Mbeya.Patrick Mbembela Mvumbuzi kutoka kijiji cha Isangara Mbeya vijijini aliyeunda gari yake inayotumia petroli akitoa maelezo kwa kwa wananchi mbalimbali waliofika kwenye banda la...

NIC YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI MAONESHO YA KILIMO NANENANE

0

Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Yessaya Mwakifulefule akizungumza katika mahojiano maalum na Kituo cha habari cha Chanel 10 katika Banda lao kwenye Mzonesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja Shirika la Bima la Taifa (NIC) Yessaya Mwakifulefulewa (wa tano kutoka kushoto na...