DK. KIJAJI AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA NYANDA ZA JUU KUSINI

0

Waziri  wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji DK. Ashatu Kijaji akizungumza na wakuu wa mikoa na wilaya Nyanda za juu Kusini mkoani Mbeya Katika uzinduzi wa Royal Tour.Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) Amewaasa viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri katika Mkoa wa Mbeya kuhusu kutumia vyema fursa ya utalii iliyofunguliwa na Rais wa Jamhuri...

WANANCHI WAASWA KUZINGATIA USALAMA WATUMIAPO USAFIRI WA NJIA YA MAJI

0

Kaimu Meneja wa Masoko na Uhusiano wa Umma wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Bi. Josephine Bujiku akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliofika kwenye banda la TASAC ili kupata elimu kuhusu majukumu ya taasisi hiyo katika Maonesho ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kitaifa kwenye  viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya.Chini picha mbalimbali zikionesha maofisa wa Shirika la...

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA TAASISI ZA WIZARA MAONESHO YA NANENANE MBEYA

0

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah ametembelea baadhi ya mabanda ya Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kwenye maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya. Taasisi hizo ni pamoja na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade)...

MKUU WA WILAYA YA KALAMBO ATEMBELEA BANDA LA BRELA

0

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mhe. Tano Mwera, akisaini kitabu cha wageni katika banda la Wakala wa Usajili wa Biashara na (Leseni BRELA)alipofika katika banda hilo kupata huduma kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya

TMDA YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUACHA KUUZA DAWA ZA MIFUGO KWENYE MAGULIO

0

Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Anitha Mshighati akizungumza na waandishi wa habari katika banda la mamlaka hiyo wakati akielezea kuhusu dawa za mifugo katika Maonesho ya Kilimo-Nane Nane 2022 yanayofanyika Kitaifa kwenye uwanja vya John Mwakangale mkoa wa Mbeya.   Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Nyanda...

KINANA APIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI WA CCM OYSTERBAY

0

  Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, ameshiri pamoja na wana CCM wa Kata ya Oysterbay kuwachagua viongozi wapya wa Chama katika kata hiyo. Uchaguzi huo umefanyika leo Agosti 6, 2022 katika Shule ya Msingi Oysterbay jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbalimbali wamechaguliwa. Akiwasalimia wana CCM wenzake baada ya upigaji kura, Kinana amesema Chama...