HALMASHAURI YA JIJI DAR WAIBUKA KIDEDEA KILIMO KANDA MASHARIKI
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu Bunge George Simbachaweni akimkabidhi kikombe na cheti Mkuu wa Idara ya Kilimo na Uvuvi Halmashauri ya Jiji Majaliwa Andrew katika maonyesho ya Wakulima Nanenane Kanda Mashariki Morogoro (kushoto)Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatuma Mwasa (Picha na Heri Shaaban)Mkuu wa Idara ya Kilimo na Uvuvi Halmashauri ya Jiji Majaliwa...
RIPOTI ZA TEITTI ZAWAVUTIA WASHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA
Katika kuhitimisha kilele cha Sikukuu ya Wakulima Kitaifa Nane Nane ripoti za ulinganishi wa malipo ya Kampuni za Madini, Mafuta na Gesi Asilia na Mapato ya Serikali zinazoandaliwa na Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asilia zimekuwa kivutio kikubwa kwa washiriki mbalimbali wa maonesho hayo.Imeelezwa kuwa tangu Tanzania imejiunga katika umoja wa Kimataifa...
SUA YAIBUKA KIDEDE KWA TAASISI ZILIZOSHIRIKI KWENYE MAONESHO YA NANENEN KANDA YA MSHARIKI.
NA: FARIDA SAID, MOROGORO.Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA kimeibuka mshindi wa kwanza kwenye kundi la vyuo vikuu na vyuo vya kati kwenye maonesho ya nanenane kanda ya mashariki yaliofanyika mkoani morogoro na wapili kwa kundi la washindi wa jumla katika kanda hiyo.Akizungumza mara baada ya kutangazwa kwa ushindi huo Kaimu Mkurugenzi wa taasisi ya elimu...
NIC: BIMA YA COMESA MKOMBOZI KWA WASAFIRISHAJI MIZIGO NJE YA NCHI
Mtaalam wa Bima ya COMESA Jamila Ntaru akizungumza kwenye mahojiano maalum juu ya Bima ya COMESA na namna inavyofanyakazi katika kilele cha sikuu ya wakulima nanenane Jijini Mbeya. Mtaalam wa Bima ya COMESA Jamila Ntaru (wa kwanza kulia) akiwa na Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa Shirika la Bima laTaifa (NIC) (wa pili kulia) na watumishi wengine wakijadiliana jambo wakati wa...
TASAC KICHOCHEO AJENDA YA 10/30, YAWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUTUMIA BANDARI
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Wakala wa Meli TASAC Bw. Abdikaim Mkeyenge akipokea zawadi mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka ya Bandari katika maonesho ya Kilimo Nanenane yaliyomalizika leo kwenye uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Bw. Abdikaim Mkeyenge akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa...
TANZANIA INA UTAJIRI MKUBWA WA BANDARI
CACP Mwamini Rwamtali Kamanda wa Polisi Kikosi cha TAZARA akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA katika Maonesho ya Nanenane 2022 yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakanganle jijini Mbeya ambapo kilele chake ni leo Jumatatu Agosti 8, 2022 zikihitimishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Rais Samia...