RC SHIGELLA AZIONYA CBWSO’s KUZINGATIA BEI ELEKEZI YA MAJI.

0

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe Martin Shigella akizungumza katika hafra ya kukabidhi pikipiki kwa Mameneja wa RUWASA mkoa wa Geita katika ofisi za RUWASA mkoa wa Geita.Wakwanza kutoka Kulia Mkuu wa Geita Mhe, Martin Shigella akikata utepe katika hafra ya kukabidhi pikipiki kwa mameneja wa RUWASA mkoa wa Geita katika ofisi za RUWASA mkoa wa GeitaKutoka Kulia Meneja...

KITABU KIPYA CHA WATOTO ‘THE AFRICAN ALPHABET’ CHAZINDULIWA

0

Baadhi ya watoto waliohudhuria walipata fursa ya kupiga picha na mtunzi wa kitabu Kemilembe Mugangala na Mgeni Rasmi Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Bonaventure Rutinwa Profesa Bonaventure Rutinwa-Mwandishi wake asema usomaji vitabu unaongeza ubunifu, maarifa na uelewa kwa watotoKitabu kipya cha Watoto kinachojulikana kama - The African Alphabet - kimezinduliwa leo jijini Dar es...

WAZIRI NAPE ANA DHAMIRA NJEMA LAKINI KUNA DOA – TEF

0

IMEELEZWA kwamba, Nape Nnauye ambaye ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ana dhamira njema na tasnia ya habari, lakini dhamira yake haijalindwa na sheria za tasnia hiyo.Ni kauli ya Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), akizungumza katika Kipindi cha Jambo kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha TBC1 tarehe 11 Agosti 2022.Amesema, dhamira ya...

KUTANA NA IRENE NDUNGURU, FUNDI UMEME ANAYEJIVUNIA MAFUNZO YA VETA

0

Irene Ndunguru akiendelea na kazi katika shughuli zake za kufunga umeme katika miradi mbalimbali. Irene Thomas Nduguru akiwa kazini katika moja ya mradi ya serikali ya ujenzi wa vyuo vya  VETA mkoani Mbeya ambao amefanya kazi ya kufunga umeme  akiwa na mafundi wenzake wa umeme.   Picha mbalimbali zikimuonesha Irene akiendelea na kazi katika shughuli zake za kufunga umeme katika miradi mbalimbali...

KUTANA NA IRENE NDUNGURU, FUNDI UMEME ANAYEJIVUNIA MAFUNZO YA VETA

0

Irene Ndunguru akiendelea na kazi katika shughuli zake za kufunga umeme katika miradi mbalimbali.Irene Thomas Nduguru akiwa kazini katika moja ya mradi ya serikali ya ujenzi wa vyuo vya  VETA mkoani Mbeya ambao amefanya kazi ya kufunga umeme  akiwa na mafundi wenzake wa umeme.Picha mbalimbali zikimuonesha Irene akiendelea na kazi katika shughuli zake za kufunga umeme katika miradi...

TATIZO LA ELIMU TASNIA YA HABARI KUMALIZWA

0

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), amesema suala la elimu katika tasnia ya habari, linatafutiwa mwarobaini. Amesema, wanapendekeza waandishi waliopo kwenye tasnia ya habari ambao hawajafikisha vigezo, wasiondolewe na badala yake wapate mafunzo wakiwa kazini, huku wanaoingia lazima wakidhi vigezo vya elimu iliyoweka. Balile ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na mtangazaji Abdallah Kurwa katika Kipindi cha Kumepambazuka kinachorushwa na Radio...