BRELA YAWAPIGA MSASA MAAFISA BIASHARA TANGA
TANGA. Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), inaendesha mafunzo ya siku tano Jijini Tanga, kwa Maafisa Biashara kuhusu Sheria ya Leseni za Biashara. Maafisa hao wanaopatiwa mafunzo ni kutoka mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara. Mkurugenzi wa Leseni wa BRELA Bw. Andrew Mkapa, akiwakaribisha katika mafunzo hayo amesema lengo kuu ni kuwajengea uwezo na uelewa juu ya...
MTANDAO WA TELEGRAM SALAMA ZAIDI KULIKO WHATSAPP KWENYE UDUKUZI
Na Mwandishi Wetu Mtandao wa kijamii wa Telegram umeonekana kuwa salama zaidi kuliko mtandao wa WhatsApp ambao umejizolea umaarufu zaidi duniani. Wataalamu wa masuala ya usalama wa kidijiti na mitandao ya jamii wamesema kuwa utafiti wao umeonesha kuwa mtandao wa Telegram unaweza kuhimili mashambulizi kutoka kwa wadukuzi kuliko mtandao wa WhatsApp. Nchini Nigeria, moja ya nchi za Afrika zenye watumiaji wengi zaidi...
RUTO RAIS MPYA KENYA
Mgombea wa kiti cha Urais kupitia Chama cha UDA nchini Kenya William Ruto ameshinda kiti hicho na kutangazwa rasmi kuwa Rais mteule wa Taifa hilo. Ruto amepata ushindi huo kwa kura 7,176,141 dhidi ya mpinzani wake Raila Odinga aliyepata kura 6,942930. Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Wafula Chebukati amemtangaza Ruto kuibuka mshindi kwa asilimia 50.49 dhidi ya 48.85.alizopata Odinga
BARRICK ILIVYOSHIRIKI UZINDUZI WA KIPINDI CHA THAMANI YA MADINI
+255 688 405 951: Kampuni ya Madini ya Barrick, imeshiriki na kudhamini mbio za Madini Marathon zilizofanyika mjini Shinyanga ambazo zilienda sambamba na uzinduzi wa kipindi kinachohusu sekta ya madini kinachojulikana kama Thamani ya madini kitakachorushwa na kituo cha Runinga cha Channel Ten ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko.Waziri wa Madini, Dk. Doto...
FCS YATOA RUZUKU YA BILIONI 4 KWA AZAKI KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO TANZANIA BARA NA VISIWANI
Mkurugenzi Mtendaji wa FCS, Francis Kiwanga (wa kwanza kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya pesa za Kitanzania Shilingi Billioni 3,957,301,580 kwa asasi za kiraia (AZAKI) 89 Tanzania bara na visiwani katika hafla iliyofanyika Leo Agosti 15,2022 Jijini Dodoma.Wawakilishi kutoka asasi za kiraia wakionyesha mikataba ya ruzuku baina yao na FCS katika mkutano wa mafunzo ya usimamizi wa...
HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO MKOMBOZI KWA WANANCHI WA KANDA YA ZIWA NA NCHI JIRANI HUDUMA ZA KIBIGWA.
Muonekano wa mbele wa Hospitali ya Rufaa yw Kanda Chato GeitaWakwanza kushoto ni Kaimu mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato wa pili ni Mkuu wa wilaya ya Chato mhe, Martha Mkupasi akifatiwa na Mkuu wa mkoa wa Geita Mhe, Martin Shigella.Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe, Martin Shigella akizungumza mara baada ya kukagua Hospitali ya Rufaa ya...