HABARI PICHA: KIKAO CHA WATAALAMU WABOBEZI WA MAGONJWA YASIYOPEWA KIPAUMBELE (NTDs)

0

Picha mbalimbali za kikao cha wataalamu wabobezi katika Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (NTDs) yakiwemo Usubi, Matende na Mabusha, Trakoma, Kichocho na Minyoo kutoka nchini Tanzania na wadau kutoka USA, UK, WHO-HQ, WHO-Afro, WHO-TZ, KENYA na UGANDA Lengo la kikao hicho ni kupitia kazi zilizofanyika Mwaka 2021/22 na mipango ya Wizara kupitia Mpango wa Taifa wa Magonjwa Yaliyokuwa...

WAZIRI UMMY MWALIMU AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA NA FALME ZA KIARABU KUWEKEZA KWENYE SEKTA YA AFYA NCHINI

0

Na: Englibert Kayombo WAF, Dar Es Salaam. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo amekutana na kufanya mazungumzo na Wawekezaji kutoka India pamoja na Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates) kujadili na kuwakaribisha kuona fursa za uwekezaji katika Sekta ya Afya nchini. Waziri Ummy amepongeza nchi hizo kwa kuonyesha nia ya kutaka kuwekeza kwenye Sekta ya Afya...

‘BODI YA HABARI ISIMAMIWE NA WANAHABARI’

0

SIO kweli kwamba waabdishi wa habari hawakosei wakati wakitekeleza majukumu yao, lakini tunasema makosa hayo ya kitaaluma yaendeshe kitaaluma. Ni kauli ya Neville Meena, Mjumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na katibu mstaafu wa jukwaa hilo wakati akizungumza na Kituo cha Radio cha Nyemo, jijini Dodoma leo tarehe 17 Agosti 2022. Amesema, mwandishi kama mwanataaluma yoyote, anaweza kukosea katika kazi...

MAANDALIZI JUBILEI MIAKA 50 SINGIDA YASHIKA KASI

0

Timu ya Mapadri wa Jimbo Katoliki Singida ikiwa kwenye picha ya pamoja muda mfupi kabla ya mchezo wao wa soka dhidi ya Walei jimboni humo. Mchezo huo ulilenga kutoa hamasa na kuchagiza upendo, furaha na amani kama maandalizi kuelekea kilele cha sherehe za Jubilei ya miaka 50 ya Jimbo Katoliki Singida ifikapo Agosti 21 mwaka huu.  Timu ya Walei Jimbo...

MAGAZETI YA LEO AGOSTI 17 – 2022

0

             

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO FELIX ANTOINE TSHISEKEDI TSHILOMBO ,KISHASA NCHINI HUMO

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo mara baada ya kuwasili katika Jiji la Kinshasa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo mara baada ya kuwasili katika Jiji la Kinshasa Rais...