WIZARA YA FEDHA KUSHIRIKIANA NA CHUO KIKUU MZUMBE KUIMARISHA USIMAMIZI WA MALI ZA SERIKALI.
Kaimu Naibu Katibu Mkuu Huduma za Hazina, Wizara ya Fedha, Bw. Lusius Mwenda, akifungua mafunzo ya usimamizi wa mali za umma, kwa wanafunzi wa...
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MAZISHI YA JENISTA MHAGAMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo...
MKURUGENZI MKU REA AWATAKA WATUMISHI KUFANYA KAZI KWA BIDII, UADILIFU NA MAARIFA
* Awasisitiza, kuheshimiana, kupendana na kutimiza wajibu wao
Dodoma
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amewataka watumishi kufanya kazi kwa...
FAMILIA YA KICHWABUTA BUKOBA KUSAIDIANA KUTATUA CHANGAMOTO ZA KIUCHUMI, KIELIMU
Na Mwandishi Wetu
Familia ya Kichwabuta kutoka Bukoba imeanzisha umoja wa kusaidiana kiuchumi, kielimu na pale mwanaukoo anapopatwa na changamoto na kulinda tamaduni wao.
Umoja huu...
DKT. MWAMBA ATEMBELEA JENGO JIPYA LA OFISI ZA WIZARA YA FEDHA
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, ametembelea Jengo jipya la Ofisi za Wizara ya Fedha, lililopo Mji...







