PBPA YAFUNGUA ZABUNI ZA UAGIZAJI MAFUTA KWA MWEZI FEBRUARI 2026 JIJINI DAR ES SALAAM
Na Mwandishi Wetu- Dar es Salaam
Wakala ya Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) leo, Desemba 16, 2025, imetekeleza zoezi la ufunguzi wa zabuni za uagizaji...
WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA ZA KIKAZI SONGWE NA MBEYA
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 16, 2025 amewasili katika uwanja wa ndege wa Songwe.
Mheshimiwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu atakuwa na ziara ya...
RC ROSEMARY AWATANGAZIA FURSA WAFANYABIASHARA KUWEKEZA DODOMA
Na Mwandishi wetu
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameendelea Kuwakaribisha Wafanyabiashara na Wawekezaji, kuchangamkia fursa Jijini Dodoma kwa kile alichokisema kuwa Mkoa...
DKT. MWIGULU ASHIRIKI MAZISHI YA MHE. JENISTA MHAGAMA.
*Atoa maagizo kwa Mkandarasi wa barabara ya Kitai-Ruanda._
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Desemba 16, 2025 ameshiriki katika Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa...
WIZARA YA FEDHA KUSHIRIKIANA NA CHUO KIKUU MZUMBE KUIMARISHA USIMAMIZI WA MALI ZA SERIKALI.
Kaimu Naibu Katibu Mkuu Huduma za Hazina, Wizara ya Fedha, Bw. Lusius Mwenda, akifungua mafunzo ya usimamizi wa mali za umma, kwa wanafunzi wa...
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MAZISHI YA JENISTA MHAGAMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo...







