MBUNGE MAVUNDE AANZISHA UJENZI WA SHULE KWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA NGAYAGAE-IPALA
Mbunge wa Jimbo la Mtumba Mh. Anthony Mavunde kwa kushirikiana na wananchi wa eneo la ya Ngayagaye kata ya Ipala wameanzisha ujenzi wa madarasa...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA na UTALII YAIPONGEZA NHC
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa kazi nzuri inayoifanya katika sekta ya...
MAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGO LA VIONGOZI MASHUHURI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Serikali imejizatiti kuhakikisha Sekta ya Uchukuzi inaimarika ili kuliweka Taifa...
WIZARA YA MADINI YAANZA RASMI KUCHORA RAMANI MPYA YA MIAKA MITANO
Morogoro
Wizara ya Madini imeanza zoezi la kuandaa Mpango Mkakati mpya (Strategic Plan) wa miaka mitano (2026/27–2030/31) utakaotoa mwelekeo mpya wa maendeleo ya Sekta ya...
WANANCHI MSATA WAPEWA MSAADA NA HUDUMA TOKA JWTZ
Mkuu wa Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Brigedia Jenerali Sijaona Michael Myalla ameongoza Maafisa...
WATALII 85 KUTOKA MATAIFA SITA WATEMBELEA MAGOFU YA KILWA
Na Mwandishi wetu, Kilwa - Lindi.
Tanzania imeendelea kuthibitisha kuwa ni kisiwa cha amani na kivutio kikubwa cha utalii duniani, baada ya meli ya kitalii...







