RAIS MHE.SAMIA SULUHU ASHIRIKI MKUTANO WA KUJADILI NAMNA KUOKOA UCHUMI NA KUKABILIANA NA KORONA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mkutano wa kujadili namna ya kuokoa uchumi wa nchi za ...
RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA KIWANDA CHA USHONAJI CHA JESHI LA POLISI TANZANIA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akivuta utepe kufungua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi Tanzania kilichopo Kurasini...
MBUNGE HAMIDA ABDALLAH “SERIKALI IBORESHE VIWANJA VYA NDEGE VYA LINDI NA NACHINGWEA.
Na: Khalfan Akida. Mbunge wa jimbo la Lindi Mjini, Mhe. Hamida Abdallah ameitaka serikali kuangalia namna bora ya kuboresha viwanja vya ndege vilivyopo katika mkoa...
SERIKALI MBIONI KUTUNGA SHERIA YA KULINDA TAARIFA BINAFSI.
Na: Prisca Ulomi, WMTH. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Faustine Ndugulile amesema kuwa Wizara yake iko mbioni kupeleka Bungeni muswada utakaowezesha kutungwa...
KUTOKA MAGAZETINI ASUBUHI YA LEO J.NNE MEI 18-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
SERIKALI YATAMBUA MCHANGO WA KANISA ANGLIKANA TANZANIA YAAHIDI USHIRIKIANO,
Na: Maiko Luoga, MWANZA.Serikali imesema inatambua kazi kubwa inayofanywa na Viongozi wa Dini nchini ya kuhakikisha wanawajenga Watanzania kiroho na kimwili hasa kipindi hiki...

