Home LOCAL RAIS MHE.SAMIA SULUHU ASHIRIKI MKUTANO WA KUJADILI NAMNA KUOKOA UCHUMI NA KUKABILIANA...

RAIS MHE.SAMIA SULUHU ASHIRIKI MKUTANO WA KUJADILI NAMNA KUOKOA UCHUMI NA KUKABILIANA NA KORONA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mkutano wa kujadili namna ya kuokoa uchumi wa nchi za Afrika na kukabiliana na athari za ugonjwa wa Korona (Covid-19) kwa njia ya mtandao. Mkutano huo unaofanyika Paris nchini Ufaransa.

Previous articleRAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA KIWANDA CHA USHONAJI CHA JESHI LA POLISI TANZANIA -KURASINI
Next articleDC MACHA AIPONGEZA FADev KWA KUTOA ELIMUA KWA WAANDISHI WA HABARI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here