RC MAKALLA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI JAFO.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo May 31 ametembelewa ofisini kwake na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa...
TABATA KIMANGA WAZINDUA USAFI.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Sokoine Kata ya KIMANGA Sharifa Oreme (Katikati)akiongoza Kampeni ya uzinduzi ya Usafi Leo Mei 30/2021 (PICHA NA HERI...
WATUMISHI WA TAASISI ZA KANISA ANGLIKANA TANZANIA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA JUHUDI NA MAARIFA
Na: Maiko Luoga, TANGA.Watumishi wa Taasisi za Kanisa Anglikana Tanzania wametakiwa kufanya kazi kwa kujituma, ubunifu na maarifa ili kushiriki kutangaza injili ya Kristo...
DKT. GWAJIMA AFANYA UFUATILIAJI WA MUONGOZO NAMBA 7 WA USHAURI WA WASAFIRI KIA.
Waziri Dkt.Gwajima akimpima joto msafiri aliyewasili nchini ikiwa ni hatua za awali za uchunguzi wa Afya za wasafiri.Eneo maalum la kupima kipimo Cha haraka...
TANZANIA NA KENYA ZAKUBALIANA KUONDOA VIKWAZO 30 VYA BIASHARA VISIVYO VYA KIUSHURU, VIKWAZO VINGINE...
Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania Prof. Kitila Mkumbo na Waziri wa Viwanda, Biashara na Maendeleo ya Wajasiliamali nchini Kenya, Mhe. Betty...