VICHWA VYA HABARI VILIVYOTAWALA MAGAZETI YA LEO J.NNE MEI 4-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
RC KUNENGE AZINDUA KAMPENI YA “USIPIME NGUVU YA MAJi”.
DAR ES SALAAM.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Abubakar Kunenge amezindua kampeni ya "Usipime Nguvu ya Maji" leo tarehe 03 Mei,2021 kwa...
TAMKO LA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA (THBUB) SIKU YA UHURU...
LEO Mei 3, 2021, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote duniani kuadhimisha Siku ya Uhuru...
MAZAO YA KILIMO HAI YANA UHAKIKA WA SOKO
Mratibu wa Mkakati wa Vijana Kushiriki kwenye kilimo toka Wizara ya Kilimo Bw. Revelian Ngaiza (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa SAT Bi....
SHILINGI MILIONI 250 KUKAMILISHA MABOMA MATANO YA ZAHANATI SINGIDA
Na: Maiko LuogaSerikali imepanga kutumia Shilingi milioni 250 katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa ajili ya kukamilisha maboma matano ya Zahanati katika Halmashauri ya...
VIJANA 2,563 WAPATIWA MAFUNZO YA KILIMO HAI DODOMA
Sehemu ya vijana waliojiunga katika vikundi kuzalisha mazao kwa njia ya kilimo hai kijiji cha Nzari wilaya ya Chamwino chini ya...