HABARI KUU ZILIZOPO MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 6-2025
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
DENMARK YATOA RUZUKU YANYONGEZA SH. BILIONI 1.6 KWA FCS KUSAIDIA MIRADI YA ASASI ZA...
Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette Nørgaard Dissing- Spandet (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa FCS, Francis Kiwanga (kulia) wakikabidhiana hati za mkataba...
TUTASIMAMA NA WAKUNGA KUHAKIKISHA UZAZI UNAKUWA BARAKA, FURAHA TANZANIA – DK GWAJIMA.
Na:Catherine Sungura.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amewahakikishia wakunga kwamba Serikali itaendelea kusimama nao vema ili waweze...
KAMPUNI YA SEMS APPAREL KUGUSA WENYE MAHITAJI
Na. MWANDISHI WETUKAMPUNI ya Sems Apparel limited, pamoja na wadau wa mitindo Ety'screation wameandaa harambe ya kuchangia watu wenye mahitaji maalum katika jamii.Harambee hiyo...
MISS PWANI YAKARIBISHA WADHAMINI.
Na:Mwandishi wetu.MUANDAAJI wa shindano la urembo mkoani Pwani, Maryam Ahmed ambaye ni mmilikiwa wa kampuni ya Twiga Entertainment, anawakaribisha wadau mbalimbali kujitokeza kudhamini shindano...