MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini...
MAJALIWA ATEMBELEA MAONESHO YA SEKTA YA MIFUGO KWENYE MKUTANO WA WADAU WA SEKTA HIYO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla...
RC MAKALLA KUSIMAMIA MABORESHO MNADA WA PUGU.
- Afanya Mazungumzo na Waziri wa Mifugo kuhusu Mustakabali wa Mnada huo.- Ni baada ya kutoridhishwa na Hali ya uchakavu wa Mnada huo.- Waziri...
SIMBA Vs MAZEMBE SIMBA DAY.
Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.MABINGWA wa ligi kuu Tanzania bara Simba wanatarajia kucheza mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Mabingwa Afrika TP...
BIASHARA UTD KUONDOKA KESHO KUIVAA FC DIKHIL
Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.TIMU ya Biashara United ya Mara, kinatarajia kuondoka kesho nchini kuelekea Djibout kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya...
MBUNGE KAMONGA ATINGA USIKU KUKAGUA MGODI MKUBWA WA MAKAA YA MAWE ULIOGUNDULIWA LUDEWA
Kamonga akionesha moja ya vipande vya mkaa huo.Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga akiwa na Vincent Malima Meneja Mwendeshaji wa Mgodi mpya mkubwa wa Makaa...