Home LOCAL MAJALIWA ATEMBELEA MAONESHO YA SEKTA YA MIFUGO KWENYE MKUTANO WA WADAU WA...

MAJALIWA ATEMBELEA MAONESHO YA SEKTA YA MIFUGO KWENYE MKUTANO WA WADAU WA SEKTA HIYO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba 7, 2021 kufungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama viatu wakati alipotembelea banda la kiwanda cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited kilichopo eneo la Karanga Moshi kabla ya kufungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba 7, 2021. Wa pili kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mkanda  uliotengenezwa na kiwanda cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited kilichopo eneo la  Karanga Moshi wakati alipotembelea banda la kiwanda hicho  kabla ya kufungua Mkutano wa Wadau Sekta ya Mifugo kwenye Kituo  cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba  7, 2021. Wa pili kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Previous articleRC MAKALLA KUSIMAMIA MABORESHO MNADA WA PUGU.
Next articleMAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here