RC SENYAMULE AFUNGUA SHULE BINAFSI YA ROYAL FAMILY GEITA

0
Paul Zahoro, Geita RS.Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Rosemary Senyamule Septemba 11, 2021 amefanya ufunguzi wa Shule ya Sekondari ya binafsi ya Royal...

KANISA ANGLIKANA TANZANIA DAYOSISI YA TANGA LA ENEZA INJILI KWA VITENDO, WASHIRIKI WATEMBEA KWA...

0
 Na: Maiko Luoga Tanga.Kanisa Anglikana Tanzania Dayosisi ya Tanga linaendelea na ziara ya matembezi ya msalaba kwa miguu kwa lengo la kutangaza injili kwa...

RATIBA YA MAZISHI YA HANS POPPE

0
Ratiba ya kumpumzisha Zakaria Hans Poppe aliyekuwa mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ndani ya timu ya Simba aliyefariki Dunia usiku wa Septemba 10,2021 katika...

WAKULIMA WA TUMBAKU NAMTUMBO WALALAMIKIA TOZO YA ASILIMIA MBILI

0
Na: Muhidin Amri, Namtumbo.WAKULIMA wa zao la Tumbaku katika wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, wamelalamikia makato ya asilimia 2 yaliyofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya...

RAIS SAMIA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UN BI. AMINA MOHAMMED DODOMA.

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed...

MACHINGWA ARUSHA MJINI WAMLILIA GAMBO, ‘TUNAAMBIWA VITAMBULISHO VIMEZIKWA CHATO’

0
 NAMNYAK KIVUYO, ARUSHAWamachinga wa soko la Samunge maarufu kama NMC jijini Arusha  wameieleza kilio chao kwa mbunge wa Jimbo la Arusha mjini Mrisho Gambo ...