Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UN BI. AMINA MOHAMMED...

RAIS SAMIA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UN BI. AMINA MOHAMMED DODOMA.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed wakati Bibi Amina alipofika Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma leo Sept 11, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed wakati Bibi Amina alipofika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Sept 11, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Sept 11, 2021. PICHA NA IKULU.

Previous articleMACHINGWA ARUSHA MJINI WAMLILIA GAMBO, ‘TUNAAMBIWA VITAMBULISHO VIMEZIKWA CHATO’
Next articleWAKULIMA WA TUMBAKU NAMTUMBO WALALAMIKIA TOZO YA ASILIMIA MBILI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here