TANZANIA KUWA MWENYEJI KATIKA TUZO ZA MWAKA 2025
Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa hafla ya kutangaza washindi wa Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi, iitwayo "Africa & Indian Ocean...
MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAWAKILI KUJIVUNIA TAALUMA YAO
:Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza Johari, akizungumza na mawakili wa serikali kwenye mkutano mkuu wa chama cha mawakili wa serikali unaofanyika kwenye ukumbi...
NACHINGWEA YAANZA KUNUFAIKA NA VITUO VYA KUDHIBITI WANYAMAPORI WAHARIBIFU
Na Mwandishi Wetu, Lindi
Wananchi wa Kijiji cha Nditi, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wameanza kuona manufaa ya vituo vya Askari wa Mamlaka ya Usimamizi...
SANAA NI UCHUMI-MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejidhatiti kuendelea kukuza na kuimarisha sanaa nchini ikiwa ni moja ya sekta rasmi ya kiuchumi.
Ametoa kauli hiyo leo...
TAMASHA LA KUOMBEA UCHAGUZI KUFANYIKA JUNI 2025
Mkurugenzi wa Msama promotion na Muandaaji wa Tamasha la Kuombea Uchaguzi Alex Msama amesema tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu litafanyika tarehe 21 june 2025...
OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MBIONI KUKAMILISHA ZOEZI LA UREKEBU...
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali iko katika hatua za mwisho za kukamilisha zoezi la Urekebu wa Sheria mbalimbali nchini.
Hayo yameelezwa na Mwandishi Mkuu...