WATUMISHI 2555 KATI YA 2625 WAPANDISHWA VYEO NA MADARAJA JIJINI ...

0
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe akiangalia horodha ya watumishi waliopandishwa madaraja na vyeo kwenye idara mbalimbali za Halmashauri ya Jijini...

TBS YAOKOA BILIONI 6.5 UWEKAJI WA VINASABA KWENYE MAFUTA.

0
Mkuu wa Shughuli za Uwekaji Vinasaba Mhandisi Florian Batakanwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Shirika la Viwango (TBS) Jijini...

MZEE KENNETH KAUNDA RAIS WA KWANZA WA ZAMBIA AFARIKI DUNIA.

0
 ZAMBIA. Rais wa kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda amefariki dunia leo akiwa na miaka 97.Kenneth David Kaunda (anafahamika zaidi kama KK).Siku chache...

KILO 88 ZA DAWA ZA KULEVYA ZATELEKEZWA NDANI YA PRADO.

0
DAR ES SALAAM.Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imefanikiwa kukamata kilo 88.27 za dawa za kulevya aina...

MTENDAJI KATA YA CHELA AWAPONGEZA WACHIMBAJI WADOGO

0
Na: Cymon Mgendi, KAHAMA. Afisa Mtendaji wa Kata ya Chela Ilyopo Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga  Evagisla John Amesema kuwa kuwepo...

MADIWANI NAMTUMBO WAONYWA JUU YA MIGOGORO

0
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya  Namtumbo mkoani Ruvuma Juma Pandu akifungua kikao cha Baraza la madiwani wa Halmashauri hiyo kilichoketi kujadili...