KENANI KIHONGOSI ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU WA UMOJA WA VIJANA WA...
Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM, Kenani Kihongosi.Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka akizungumza...
WADAU WA CHAKULA KANDA YA KASKAZINI WAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO YA UZALISHAJI,USINDIKAJI...
Baadhi ya wazalishaji wa chakula wakiwakatika mjadala wavwadau wa chakula uliofanyika mkoani Arusha.Meya wa jiji la Dodoma Profesa Davis Mwamfupe akifungua mjadala wa wadau...
VYAMA VYA SIASA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA SERIKALI, VYAWAPONGEZA RAIS SAMIA, DKT....
Na: Mwandishi Wetu, ORPP. Vyama vya Siasa nchini vya ahidi keendelea kutoa ushirikiano kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambazo zinaongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussen Ally Mwinyi, mtawalia. Ahadi hiyo imetolewa juzi tarehe 20 Juni 2021 na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya...
PSSSF NA BENKI YA AZANIA ZAZINDUA HUDUMA YA KUWAWEZESHA WANANCHI KUMILIKI...
Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, CPA. Hosea Kashimba(kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Azania Bw. Charles Itembe wakisaini makubaliano ya kuwawezesha wananchi...
WASHONAJI VIKAPU NJOMBE WAIOMBA SERIKALI KUWATAFUTIA SOKO LA UHAKIKA.
Picha ya pamoja ya washonaji vikapu kutoka Mkoani Njombe baada ya kumaliza kushona vikapu hivyo. Wakina Mama mbalimbali wa Mkoa wa Njombe, wakishona vikapu...
MATOKEO YA MICHEZO MBALIMBALI ILIOYOCHEZWA KATIKA MASHINDANO YA UMISSETA LEO JUNI...
Nahodha wa timu ya soka ya mkoa wa Dar es salaam Ahmad Said (jezi nyeupe) akichungwa kwa karibu na beki mahiri wa kigoma...