HABARI PICHA: TMDA YAENDELEA KUTOA ELIMU MAONESHO YA SABASABA.
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Umma kutoka TMDA Bi. Gaudensia Simwanza (kushoto) akitoa Elimu kwa wasichana wanaosoma Elimu ya Juu walipofika kwenye Banda la...
MISS AFRIKA KUFANYIKA TANZANIA KWA MARA YA KWANZA MWEZI NOVEMBA,2021
Na; Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM.MASHINDANO ya Miss Afrika kwa mara ya kwanza yanatarajia kufanyika nchini Tanzania Novemba 26,mwaka huu ambapo yanatarajia kushirikisha nchi...
WANAFUNZI VETA WAMPONGEZA RAIS SAMIA KUWAANZISHIA MAFUNZO YA MIEZI SITA
DAR ES SALAAM.Mafunzo yanayotolewa na VETA ambayo yanawawezesha vijjana wa Kitanzania kuweza kupata ujuzi wa ufundi Katika nyanja tofauti yameonekana kuwafurahisha wanafunzi wengi wanaosoma...
WAZIRI NDUGULILE ATEMBELEA BANDA LA TCRA SABASABA.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dk.Faustine Ndugulile akizungumza na waandishi wa habari Katika Banda la TCRA katika maonesho ya 45 ya Biashara...
WAZIRI NDUGULILE AZINDUA DUKA LA MTANDAO KUPITIA SHIRIKA LA POSTA.
DAR ES SALAAM.Wizara ya Mawasiliano na Tecknolojia ya Habari kupitia Shirika la Posta Tanzania limezindua Duka Mtandao, Duka hilo ambalo litawaunganisha Wafanya Biashara na...