Home LOCAL HABARI PICHA: TMDA YAENDELEA KUTOA ELIMU MAONESHO YA SABASABA.

HABARI PICHA: TMDA YAENDELEA KUTOA ELIMU MAONESHO YA SABASABA.


Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Umma kutoka TMDA Bi. Gaudensia Simwanza (kushoto) akitoa Elimu kwa wasichana wanaosoma Elimu ya Juu walipofika kwenye Banda la Taasisi hiyo kujifunza namna ambavyo Mamlaka hiyo inavyofanya shughuli zake.


Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakimsikiliza Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Umma kutoka TMDA Bi. Gaudensia Simwanza (Mwenye shati la kitenge) alipokuwa akijibu maswali mbalimbali kutoka kwa wananchi hao kwenye maonesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam.
Previous articleMISS AFRIKA KUFANYIKA TANZANIA KWA MARA YA KWANZA MWEZI NOVEMBA,2021
Next articleKUTOKA MEZA YA MAGAZETI ASUBUHI YA LEO JULAI 9-2021

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here