http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO APRILI 30- 2025
http://DKT BITEKO AKIHITIMISHA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI 2025/2026Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 29, 2025 akihitimisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake kwa mwaka 2025/2026 bungeni...
http://HAKUNA KITU KITAKACHOMPATA IBRAHIM TRAORÈ_RAIS WA URUSI VLADIMIR PUTIN
"Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
"Nataka kufanya mambo...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga wakipongezwa na Wabunge mbalimbali mara baada ya Bunge kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi...
Na. Mwandishi wetu, Iringa
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu za Uchaguzi wakati wa utekelezaji wa awamu ya pili ya zoezi...
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza katika Jukwaa la Ufadhili wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2025 (ECOSOC Forum on Financing for Development Follow-Up (FfD Forum), lililowahusisha mawaziri wa Fedha, Mipango, Mambo...