Ndege mpya aina ya B737-9 MAX ikipewa heshima ya kumwagiwa maji (Water Salute) baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Machi 26, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu...
DAR ES SALAAM
Machi 12, 2024 Katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imefunguliwa kesi ya Jinai Namba (Cc.6600) dhidi ya Bw. BENJAMIN CHALRES CHUMA kwa mashtaka ya kuomba na kupokea RUSHWA kinyume na kifungu cha 15(1)(a) na 15(2), cha Sheria...
* Taasisi ya Moody's yasema kuwa Tanzania ndiyo nchi inayokopesheka kuliko nchi zote za Afrika Mashariki
* Mageuzi ya uchumi ya Serikali ya Rais Samia yafanya uchumi uwe himilivu, yasababisha uwekezaji wa sekta binafsi uongezeke
Na Mwandishi Wetu
Tanzania imepandishwa kwenye orodha...
SHIRIKA la Grumeti Fund kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii katika kujenga jamii yenye usawa na yenye kujitambua kwa vijana wa kike na kiume imewakusanya pamoja wanafunzi wa kike zaidi ya 1,243 na wavulana 565 katika nyakati tofauti kutoka...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Sekta ya elimu ni wakala wa mabadiliko katika jamii kiuchumi, kiteknolojia na kiutamaduni katika kuleta maendeleo ya nchi.
Amesema kuwa utoaji wa elimu bora kwa Watanzania ni moja ya vipaumbele vya nchi katika kuleta...