Dar es salaam 30.04.2025 Chuo Cha Taifa cha Utalii (NCT) wametia saini Hati ya Mashirikiano na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Akizungumza katika hafla fupi ya makubaliano hayo, iliyofanyika leo April 30,2025, Jijini Dar es Salaam, Mkuu wa...
Salva Times Fm: ::::::::: Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Yaibuka Mshindi wa Kwanza Katika Maonyesho ya Kwanza ya Mfuko wa Utamaduni. Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imeibuka mshindi wa kwanza katika kundi la taasisi za umma katika Maonyesho ya Kwanza ya...
Na John Bukukuku Dar es Salaam, Aprili 30, 2025  Jeshi la Polisi nchini limepokea msaada wa pikipiki 15 kutoka kwa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) kwa lengo la kusaidia katika shughuli za doria na misako mbalimbali ili kuimarisha usalama wa...
Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Shigeki Komatsubara (katikati) akizungumza kwenye mdahalo uliofanyika wakati wa kutangaza msimu mpya wa Wiki ya Ubunifu sambamba na mkutano wa Future Ready Summit mwaka 2025. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Philip Besiimire...
Singida Serikali inaendelea kuhakikisha kwamba barabara ambazo zipo katika kila halmashauri ya wilaya zinafunguliwa ili kurahisisha usafiri na usafirishaji katika maeneo ya wananchi. Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Mkoa wa Singida Mhandisi Ibrahimu Kibassa kwenye Maonesho ya Usalama na Afya...
http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO APRILI 30- 2025