Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kulia), akiagana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yoichi Mikami, aliyefika kwa ajili ya kujitambulisha na kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo kati ya Tanzania...
Arusha
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Arusha imeagizwa kuanisha maeneo yote yenye changamoto za barabara katika maandalizi ya bajeti ya mwaka 2026/27 ili kuondoa kero zinazowakabili wananchi hususan miundombinu ya barabara ili kuweza kusafirisha mazao...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dkt. Maimbo Mndolwa (wa pili kulia) na ujumbe wake katika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 19, 2026. (Wengine kutoka Kushoto ni Waziri...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Burundi nchini Tanzania,Mhe. Balozi Leontine Nzeyimana, ambapo wamezungumza masuala mbalimbali ikiwemo uwepo wa kambi za Wakimbizi hapa nchini,Udhibiti na utoaji elimu ili kuzuia...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeendelea kudhihirisha kwa vitendo dhamira yake ya kuchangia maendeleo ya jamii kwa kukabidhi mashine ya kisasa ya kukamulia juisi kwa vikundi vya wajasiriamali wasioona katika wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam—hatua inayolenga...
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (mwenye shati ya batiki), akisikiliza maelezo ya namna ya kutumia mifumo ya usalama na utambuzi iliyopo katika Jengo jipya la Wizara ya Fedha lililopo katika Mji wa Serikali-Mtumba, jijini...







