Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo September 24,2023 ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Maji Mtyangimbole Wilaya ya Madaba Mkoani Ruvuma kwa niaba ya Miradi 30 ya Maji inayotekelezwa Mkoani humo. Mradi wa tank...
Wajumbe wa Kamati ya Mawasiliano, Elimu kwa Umma na Huduma kwa Wateja katika picha ya pamoja mara baada ya kikao kilichofanyika Madnat AlBahr, Zanzibar. Na,Mwandishi Wetu. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imekuwa mwenyeji wa vikao vya...
*Asisitiza Watanzania kuwa sehemu ya Mkakati* *Aeleza athari za matumizi ya Nishati isiyo safi* *Atoa hofu ya Gesi kulipuka* Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mhe. Zainabu Katimba ametoa rai kwa wananchi kuunga mkono kwa vitendo Mkakati wa Taifa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza mchezo wa bao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho katika uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Septemba 23, 2024 amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kikao na Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti...
Songea, Ruvuma Katika hali ya hamasa kubwa, umati mkubwa wa wananchi wa Mji wa Songea umejitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Majimaji, kumshuhudia na kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe....