*TEMESA kushirikiana na sekta binafsi kwenye uendeshaji wa karakana, vivuko na ukodishaji wa mitambo Septemba 24, 2024 Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam Wakala wa Ufundi na Umeme wa Tanzania (TEMESA) imepanga kuendesha vivuko, karakana na mitambo ya kukodishwa kwa ubia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameutaka mradi wa shamba la kahawa la kampuni ya AVIV Tanzania Limited lililopo katika kijiji cha Lipokela, wilayani Songea mkoani Ruvuma kuwashika mkono wakulima wa pembezoni mwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa maghala 28 ya kuhifadhi nafaka katika eneo la ghala la Luhimba, Mkoani Ruvuma leo tarehe 24 Septemba 2024 ambayo yanaenda kuwa...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb), ametaja mambo makubwa aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha Sekta ya Maliasili na Utalii. Ameyasema hayo leo Septemba 24, 2024...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akichambua Kahawa wakati alipotembelea Shamba la Kahawa la Aviv Tanzania Limited lililopo Mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024. Rais wa...