Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongeza juhudi za wakulima wa Mkoa wa Ruvuma katika kuzalisha mazao kwa wingi na kuifanya Tanzania kuwa na usalama na uhakika wa chakula.
Amepongeza wakati aliposimama na...
KAIMU Mkuu wa Tawi la Utawala Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kanali Juma Mrai ,akizungumza na Waandishi wa Habari leo Septemba 25,2024 Makao Makuu ya JKT Chamwino Mkoani Dodoma kwa niaba ya MKUU wa JKT .
Na.Meleka Kulwa-DODOMA
JESHI la Kujenga...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini (THBUB), imebaini kuwa Tuhuma za Ukiukwaji wa haki za Binadamu zilizotolewa na Shirika lisilo la Kiserikali la Mining Watch la nchini Canada dhidi ya Mgodi wa Dhahabu wa North Mara,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma, leo Septemba 25, 2024.
Ujenzi wa Barabara ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya upimaji wa mahindi kutoka kwa Afisa Ununuzi wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Ndugu Andrew Massawe na maelezo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Mbinga mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...