Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasihi wananchi kutumia vema miundombinu ya barabara inayojengwa na serikali ili kuepusha ajali zinazopelekea madhara makubwa. Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati akizungumza na waumini mara...
Na Saidi Mwishehe, Michuzi Blog. WANAHARAKATI huru nchini Tanzania wameamua kuvunja ukimya na kuwakemea na kuwaonya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao wamekuwa wakianzisha chokochoko na kuhamasisha maandamano yasiyo na tija kwa Watanzania. Pia wanaharakati hao wamekitaka Chama...
Picha ya pamoja kati ya waandishi wa habari na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Yasushi Misawa pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) katikati ni Naibu waziri wa Katiba na Sheria, Jumnne Sagini aliyekuwa mgeni rasmi...
Maelfu ya wananchi wa Mji wa Mbamba Bay, Wilaya ya Nyasa, walijitokeza kumlaki na kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alipowasili eneo hilo kwa ajili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kuchambua mahindi bora na wakulima ili kuyauza katika Kituo cha Ununuzi wa Nafaka cha Mbinga - Sokoni, Mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba 2024.  Aidha, Mhe. Rais Dkt....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay katika Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba, 2024.