Ladies and gentlemen, beer enthusiasts, good vibe seekers, and lovers of Tanzanian culture, the much-anticipated Serengeti Oktoberfest is back, and this year, #SerengetiOktobaFest2024 is set to be BIGGER and BETTER than ever before.
In October, #SerengetiOktobaFest will be a...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeendelea na mikakati mbalimbali ya kukabiliana na wanyamapori tembo katika Halmashauri za Wilaya ya Namtumbo na Tunduru Mkoani Ruvuma lengo ikiwa ni kuzuia wasiingie kwenye makazi...
KAMPUNI ya Airpay Tanzania imesema kuwa mfumo wa kidigitali walioutengeneza kwa kushirikiana na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA) na taasisi zingine za kifedha utawarahisishia wajasiriamali wa Zanzibar kupata mikopo kwa urahisi na haraka.
Hayo yamebainishwa leo na Ofisa Mawasiliano...
Na WMJJWM, Dar Es Salaam
Serikali kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali wanaoshughulikia huduma za Ustawi wa Jamii wamedhamiria kuhakikisha vipaumbele vilivyowekwa kutekeleza afua za Ustawi wa Jamii zinatoa matokeo.
Maamuzi hayo yamefikiwa wakati wa kikao cha pamoja kati ya Wizara ya...
Kaimu Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Ephatar Mlavi akizungumza wakati wa mkutano na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), uliofanyika leo Septemba 26, 2024 Jijini Dar es Salaam. chini ya uratibu wa Ofisi ya Msajili wa Hazina
Kaimu Mkuu wa kitengo cha ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonya wananchi kuacha tabia ya kuchoma misitu bali wailinde na kuihifadhi.
Ameyasema hayo leo Septemba 26, 2024 katika Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma alipokuwa akizungumza na wananchi kwenye...