Serikali imeanza kutumia mfumo wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) kwa zao la Korosho kwa msimu wa mauzo mwaka huu unaoanza hivi karibuni ili kumlinda mkulima kwa kupokea malipo moja kwa moja kutoka kwa Vyama Vikuu vya Ushirika badala...
Azindua Wiki ya Elimu Muheza Asema Mtoto wa Leo, Samia wa Kesho Inawezeka Awataka Wazazi, Walimu Kufanikisha Ndoto za Watoto Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto...
  NA:MWANDISHI WETUN, IRC, Mtwara WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amesema hatasita kuendelea kuwafutia leseni wafanyabiashara wakubwa na wadogo wanaotumika na waleta janja janja katika ununuzi wa korosho na kunyonya wakulima. Amesema hatua ya Serikali kuwapa kipaumbele wafanyabiashara wa ndani kununua korosho...
Asema wananchi wana wajibu wa kufuatilia utekelezaji wa miradi kwenye maeneo yao  *Aeleza umuhimu wa Sensa ya Watu na Makazi katika kuleta maendeleo Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Judith Kapinga amesema dhamira ya Serikali...
Jina langu ni Mom, kutokana na ugumu wa maisha nilijikuta nimeingia kwenye biashara ya ukahaba bila mimi mwenye kupenda, nilifanya kazi ile kishingo upande, ni vile tu sikuwa na jinsi ya kuweza kuendesha maisha. Nilikumbana na changamoto nyingi, moja wapo...
Kila mfanyabiashara kiu yake ni kupata wateja wengi na kuweza kutengeneza faida kubwa katika biashara  yake, sidhani kama mtu anafanya biashara akitegemea atapata hasara au kupoteza muda wake. Hata hivyo, ukweli ni kwamba katika biashara hutokea mambo mengi ambayo ni...