Viongozi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wameaswa kuongeza zaidi tafiti na uzalishaji wa mbegu za asili; na kujenga uwezo wa watafiti wake kupitia vyuo vya ndani na nje ya nchi.
Msisitizo huo umetolewa na Waziri wa Kilimo...
Na. Mwandishi Wetu
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 07 hadi 13 Oktoba, 2024 ambapo vituo vitafunguliwa saa 02:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.
Akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi Kisiwani...
Shirika la maendeleo la Kanisa Katoliki mkoani Tabora CARITAS limetoa vyerehani 54 kwa wanawake ‘Walea Pweke’ wa Vijiji vya wilaya ya Uyui Mkoani humo kwa lengo la kuonyesha upendo kwao na kuwakwamua kiuchumi vyenye thamani ya sh.milioni 17,820,000.
Akikabidhi vyerehani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mafanikio ya uongozi wa Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, yalichangiwa na uaminifu kwa mamlaka yake ya uteuzi, mapenzi yake...
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Wasichana ya Barbro Johansson wakionyesha kompyuta zilizotolewa na kampuni ya Barrick wakati wa mahafali ya kidato cha nne ya shule hiyo
Meneja Mawasiliano wa Barrick nchini (Corporate Communications and Country Liaison Manager), Georgia Mutagahywa,...
Ukweli ni kwamba heshima ya kweli anayopewa mwanaume kutoka kwa mke wake ni pale ambapo anatimiza majukumu yake vizuri ya kuihudumia familia, na kubwa zaidi ni pale wakati wa kula chakula cha usiku, mume ahakikishe mke kala na kuridhika.
Wakubwa...